Sanaa za maonesho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Wanafunzi wakiigiza

Sanaa za maonesho ni kitendo chochote kinachodhihirishwa na mambo yafuatayo:

- Dhana inayotendeka (Tendo lenyewe)

- Mtendaji (Fanani)

- Uwanja wa kutendea (Mandhari)

- Watazamaji (Hadhira)

Sanaa hiyo huhusisha vipera mbalimbali vya fasihi simulizi. Kwa mfano; michezo ya kuigiza, ngonjera na kadhalika.

P literature.svg Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sanaa za maonesho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.