Nenda kwa yaliyomo

Rangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa matumizi ya misimbo hii tazama Msaada:Rangi

Orodha ya Rangi

Rangi Sampuli Msimbo wa HTML
Nyeusi #000000
Kijivujivu #808080
Kijivu #B2BEB5
Fedha #C0C0C0
Udongo #553A26
Kahawia #6F4E37
Chokoleti #7B3F00
Kutu #B7410E
Shaba #B87333
Hudhurungi #C78200
Ukaria #CC7722
Marungi #D2691E
Zambarau #800080
Urujuani #8F00FF
Nili #6F00FF
Buluu #0000FF
Samawati #87CEEB
Feruzi #30D5C8
Kijani #00AA00
Zaituni #808000
Zumaridi #50C878
Chanikiwiti #A3FF00
Ndimu #BFFF00
Manjano #ffff00
Mahindi #FBEC5D
Dhahabu #FFD700
Kaharabu #FFBF00
Machungwa #FF7F00
Nyekundu #FF0000
Waridi #FF007F
Pinki #FFC0CB
Lulu #EAE0C8
Mtindi #FFFDD0
Nyeupe #FFFFFF

Majina ya HTML

Majina yafuatayo ya Kiingereza yanatambuliwa pamoja na misimbo ya wikipedia:

 1. Uandishi huu (white) (white)
 2. Uandishi huu (silver)
 3. Uandishi huu (gray)
 4. Uandishi huu (black)
 5. Uandishi huu (red)
 6. Uandishi huu (maroon)
 7. Uandishi huu (yellow)
 8. Uandishi huu (olive)
 9. Uandishi huu (lime )
 10. Uandishi huu (green)
 11. Uandishi huu (aqua)
 12. Uandishi huu (teal)
 13. Uandishi huu (blue)
 14. Uandishi huu (navy)
 15. Uandishi huu (fuchsia)
 16. Uandishi huu (purple)
 17. Uandishi huu (turquoise)
 18. Uandishi huu (cyan)
 19. Uandishi huu (lime)
 20. Uandishi huu (chartreuse)
 21. Uandishi huu (gold)
 22. Uandishi huu (orange)
 23. Uandishi huu (brown)
 24. Uandishi huu (pink)
 25. Uandishi huu (magenta)
 26. Uandishi huu (indigo)

Kwa majina mengine na misimbo yao unayoweza kutumia katika kazi ya kuhariri ona makala ya Kiingereza en:Web_colors.

Kwa matumizi ya misimbo hii tazama Msaada:Rangi

Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rangi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.