Zumaridi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Zumaridi katika hali asilia kabla ya kukatwa na kusuguliwa
Zumaridi dukani zilizokatwa na kung'arishwa tayari

Zumaridi ni kito adimu chenye rangi ya kijani yenye thamani kubwa inatumiwa kwa mapambo ya kila aina.

Kikemia ni umbo la fuwele la madini ya berili.

Chem template.svg Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zumaridi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.