Fuwele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Fuwele za bismuti
Fuwele ya Insulini
Metali ya Gali yaonyesha fuwele kubwa
Fuwele ya theluji

Fuwele ni muundo wa gimba mango ambako atomi au molekuli zake zimepangwa kwa mpangilio maalumu unaorudia na kuendelea pande zote.

Chumvi hupatikana kama fuwele. Theluji ni maji katika umbo fuwele.

Dutu isiyopangwa kwa fuwele huitwa hobela yaani isiyo na umbo. Mfano wake ni umbo la unga au pia kioo. Viowewu vyote ni hobela.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fuwele kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.