Msaada:Rangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa rangi na misimbo/majina yao angalia Rangi

Katika matini ya kawaida hatutakiwi kutumia rangi tofauti kwa ajii za herufi au vichwa. Lakini tunaweza kutumia rangi tofauti katika jedwali, vigezo na kurasa za msaada.

Kuhusu majina ya rangi na misimbo (codes) zao angalia makala: Rangi.

Kwa majina mengine na misimbo yao unayoweza kutumia katika kazi ya kuhariri ona makala ya Kiingereza en:Web_colors.

Ukitaka kutumia rangi kwenye kigezo au jedwali unaweza kutumia msimbo wake (mfano nyekundu ni "#F5051c") au majina ya rangi ya HTML kwa Kiingereza( mfano "<red>red").

Ukitaka kutumia rangi kwenye Kigezo au jedwali unaweza kutumia msimbo wake (mfano nyekundu ni "#F5051c") au majina ya rangi ya HTML kwa Kiingereza( mfano "red"). Unahitaji kutumia msimbo au jina pamoja na alama nyingine ili kuunda amri kwa programu ya ukurasa.

Rangi ya matini kwa misimbo ya ..[hariri | hariri chanzo]

Ili kufanya neno liwe na rangi, tumia:

• A) text

au

• B) text

Mifano:

• A) Uandishi mwekundu unaonyesha kama Uandishi mwekundu
• A) Uandishi wa buluu unaonyesha kama Uandishi wa buluu
• B) Uandishi mwekundu unaonyesha kama Uandishi mwekundu
• B) Uandishi wa buluu unaonyesha kama Uandishi wa buluu

Rangi ya matini na nyuma kwa kigezo cha {{Font colour}}[hariri | hariri chanzo]

{{font color|backgroundcolour|Matini yako hapa}}

Mfano Matokeo
{{font color|red|Rangi ya maandishi imebadilika}} Rangi ya maandishi imebadilikaKubadilisha rangi ya maandishi tu (huwezi kutumia kiungo (link) hapa)
{{font color|red|yellow|Rangi ya maandishi imebadilika}} Rangi ya maandishi imebadilikaKubadilisha maandishi na rangi ya mandharinyuma
{{font color||yellow|Rangi ya maandishi imebadilika}} Rangi ya maandishi imebadilikakubadilisha rangi ya nyuma tu
kumbuka alama mbili za bomba | |
rangi ya nyuma: # d0e5f5

rangi ya nyuma: # f1f5fc

rangi ya mpaka: # abd5f5
rangi ya nyuma: # faecc8

rangi ya nyuma: # faf6ed

rangi ya mpaka: # fad67d