Akili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Akili ni kipawa kinachowezesha kufikiri, kuelewa, kuwasiliana, kujifunza, kupanga na kutatua matatizo. Ni ufahamu uliomo katika ubongo wa binadamu, unaoweza hata kutofautisha jambo kwa wema na ubaya wake na hatimaye kumuongoza katika kufanya maamuzi.

Ingawa akili kwa ujumla hutumiwa kuhusiana na binadamu, baadhi ya wanyama kama mbwa [1], sokwe, bonobo, n.k na mimea [2] [3] huwa na dalili fulani za akili. Akili bandia ni akili ya mashine inayopatikana kwa kutumia programu za kompyuta.

Dhana kuhusu asili ya akili zinatofautiana.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. The Intelligence of Dogs.
  2. Green plants as intelligent organism.
  3. Mindless mastery.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: