Nenda kwa yaliyomo

Dhana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dhana (kutoka neno la Kiarabu) ni wazo lisilo bayana wala la hakika lakini mtu au jamii wanaweza kuwa nalo na kulipendekeza kwa wengine ili lizidi kuchunguzwa upande wa falsafa, sayansi n.k. kwa kutumia hoja, vipimo na njia nyingine za kufikia ukweli.