Dalili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dalili ni alama zinazotambulisha kitu fulani kwamba kimekuja, kinakuja au kitakuja.

Dalili zipo za aina mbalimbali, kama vile dalili za magonjwa, mvua n.k.

Mifano ya dalili[hariri | hariri chanzo]