Mvua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mawingu wa mvua mlimani

Mvua ni matone ya maji yanayoanguka chini kutoka mawingu angani. Kama matone yafikia kipenyo cha zaidi 0.5 mm huitwa mvua. Kama matone ni madogo zaidi kunaitwa manyonyota . Mgongoni mwa ardhi mvua imetapaka kisawasawa.

Mvua ni aina ya usimbishaji.

Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mvua kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.