Paris
Mandhari
Paris | |||
| |||
Mahali pa mji wa Paris katika Ufaransa |
|||
Majiranukta: 48°51′24″N 2°21′3″E / 48.85667°N 2.35083°E | |||
Nchi | Ufaransa | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Île-de-France | ||
Wilaya | Paris | ||
Idadi ya wakazi (2019) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 2,140,526 | ||
Tovuti: http://www.paris.fr/ |
Paris (kwa Kifaransa: [paʁi] (info)) ndiyo mji mkuu na mji mkubwa wa Ufaransa ukiwa na wakazi 2,140,526 mwanzoni mwa mwaka 2019.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Mji wa Paris unapatikana katika Ufaransa ya kaskazini.
Mto Seine unatiririka kupitia mji huo.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Notre Dame
-
Arc de Triomphe
-
Place Dauphine
-
Tuileries, Louvre
-
Val-de-Grace
-
Palais du Luxembourg
-
Marché à la Rue Mouffetard
-
Vue depuis Montmartre
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Paris kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |