Ufumaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mfumaji huko India.

Sanaa ya ufumaji ni ufundi unaotumika kutengeneza vitu mbalimbali kwa kutumia vifaa maalumu au mikono. Mfano wa vitu hivyo ni mikeka, vitambaa, viti vya kukalia n.k.

Ufumaji unasaidia kuongeza ujuzi wa kubuni; pia ufumaji unamsaidia binadamu kukidhi mahitaji yake ya kila siku na unaingiza pato kwa taifa.