Uhindi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka India)
Rukia: urambazaji, tafuta
भारत गणराज्य
Bhārata Gaṇarājya

Jamhuri ya Uhindi
Bendera ya Uhindi Nembo ya Uhindi
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: "Satyameva Jayate" (Kisanskrit)
Kidevanāgarī: सत्यमेव जयते
("Ukweli pekee hushinda")
Wimbo wa taifa: "Jana Gana Mana
[[Image:|250px|Lokeshen ya Uhindi]]
Mji mkuu New Delhi
28°34′ N 77°12′ E
Mji mkubwa nchini {{{largest_city}}}
Lugha rasmi Kihindi, Kiingereza na lugha nyingine 21
Serikali Jamhuri ya Maungano
Pranab Mukherjee
Narendra Modi
Uhuru
-ndani ya Jumuiya ya madola
-kama Jamhuri
Kutoka Uingereza
15 Agosti 1947
26 Januari 1950
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
3,287,590 km² (ya 7)
9.6
Idadi ya watu
 - 2015 kadirio
 - 2011 sensa
 - Msongamano wa watu
 
1,276,267,000 (ya 2)
1,210,193,422
384.8/km² (ya 31)
Fedha Rupia (Rs.)1 (INR)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
IST (UTC+5:30)
not observed (UTC+5:30)
Intaneti TLD .in
Kodi ya simu +91

-

1 Re. is singular


India in its region (undisputed).svg

Uhindi (pia: India) ni nchi ya bara la Asia.

Kwa eneo ina nafasi ya saba duniani, lakini kwa idadi ya wakazi (1,210,193,422 mwaka 2011) ni nchi ya pili duniani baada ya China. Kati ya nchi za kidemokrasia ndiyo yenye watu wengi zaidi duniani.

Imepakana na Pakistan, China, Nepal, Bhutan, Bangladesh na Myanmar.

Kiutawala Uhindi ni shirikisho la jamhuri lenye majimbo ya kujitawala 29 pamoja na maeneo ya shirikisho 7.

Mji mkuu ni New Delhi, lakini mji mkubwa zaidi ni Mumbai.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia: Uhindi wa Kiingereza

Watu[hariri | hariri chanzo]

[Lugha ya taifa]] ni Kihindi, ambacho ni lugha ya Kihindi-Kiulaya, pamoja na Kiingereza ambacho pia ni lugha rasmi. Kuna lugha 21 kubwa na lugha nyingi zisizo na wasemaji wengi sana.

Kusini mwa Uhindi watu husema lugha za Kidravidi kama Kikannada, Kitelugu, Kitamil na Kimalayalam.

Kaskazini husema hasa Kipunjabi, Kibengali, Kigujarati na Kimarathi.

Lugha ndogo chache ambazo si lugha za Kihindi-Kiulaya (74 %) wala za Kidravidi (24 %) ni lugha za Kisino-Tibeti, lugha za Kiaustro-Asiatiki au lugha za Kitai-Kadai. Visiwani mwa Andaman, kulikuwa na lugha za Kiandamani lakini nyingi zao zimeshatoweka kabisa.

Wakazi walio wengi (79.8 %) hufuata dini ya Uhindu. Takriban 14.2 % ni Waislamu; hivyo Waislamu wa Uhindi ni jumuiya ya tatu katika umma wa Kiislamu duniani baada ya Waislamu wa Indonesia na Pakistan.

Dini nyingine ni Ukristo (2.3 %), Usikh (1,7 %), Ubuddha (0.7 %), Ujain (0.4 %), Uzoroastro na Bahai.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China.


Indie 2006.png Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uhindi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.