Lugha za Kitai-Kadai
Mandhari
Lugha za Kitai-Kadai ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa katika Asia ya Kusini-Mashariki, hasa nchini Uthai na Uchina. Idadi ya lugha katika familia hiyo ni kati ya 90 na 100.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kitai-Kadai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |