Uthai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
ราชอาณาจักรไทย
Ratcha Anachak Thai

Ufalme wa Uthai
Bendera ya Uthai Nembo ya Uthai
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: {{{national_motto}}}
Wimbo wa taifa: Phleng Chat
Wimbo la kifalme: Phleng Sansoen Phra Barami
Lokeshen ya Uthai
Mji mkuu Bangkok (Krung Thep)
13°44′ N 100°30′ E
Mji mkubwa nchini Bangkok
Lugha rasmi Kithai
Serikali Serikali ya kijeshi chini ya Ufalme wa kikatiba
Bhumibol Adulyadej
Jenerali Surayud Chulanont
Jenerali Sonthi Boonyaratglin
Formation
Sukhothai Mfalmedom
Ufalme wa Ayutthaya
Ufalme wa Thonburi
Ufalme wa Chakri

1238–1368
1350–1767
1767 hadi 7 Aprili 1782
7 Aprili 1782 hadi leo
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
514,000 km² (ya 49)
0.4
Idadi ya watu
 - Julai 2006 kadirio
 - 2000 sensa
 - Msongamano wa watu
 
64,631, 5951 (ya 19)
60,916,441
126/km² (ya 802)
Fedha Baht (฿) (THB)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+7)
(UTC+7)
Intaneti TLD .th
Kodi ya simu +66

-


Uthai (pia: Siam, Thailand, Tailandi, Thailandi, Tailendi) ni ufalme katika Asia ya Kusini-Magharibi. Imepakana na Laos, Kambodia, Malaysia na Myanmar. Ina pwani la Ghuba ya Uthai ya Bahari ya Kusini ya China upande wa kusini na Bahari Hindi upande wa magharibi. Nchi iliitwa rasmi Siam (สยาม) hadi 1939 na tena kati ya 1945 1949. Neno Thai (ไทย) lamaanisha "uhuru" kwa Kithai ni pia jina la kundi kubwa nchini ambao ni Wathai.

Mji mkuu ni Bangkok.

Wathai walio wengi hufuata dini la Ubuddha. Katika kusini mpakana ni Malaysia kuna Waislamu.

Nchini Uthai kuna lugha za asili 73 (angalia orodha ya lugha za Uthai).

Tangu 19 Septemba 2006 nchi imetawaliwa na kamati ya jeshi. Jeshi ilipindua serikali ya waziri mkuu Thaksin Shinawatra bila kumwaga damu. Viongozi wa kijeshi walipatana na mfalme ya kwamba wataandaa uchaguzi mpya.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

  1. en: The United States CIA website
  2. en:Thailand travel dictionary
BlankAsia.png Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uthai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China.