Brunei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
بروني دارالسلام
Negara Brunei Darussalam
Bendera ya Brunei Daressalam Nembo ya Brunei Daressalam
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: "Daima katika utumishi kwa msaada wa Mungu"  (translation)
Wimbo wa taifa: Allah Peliharakan Sultan
"Mungu ambariki Sultani"
Lokeshen ya Brunei Daressalam
Mji mkuu Bandar Seri Begawan
4°55′ N 114°55′ E
Mji mkubwa nchini Bandar Seri Begawan
Lugha rasmi Kimalay na Kiingereza
Serikali Ufalme
Hassanal Bolkiah
Uhuru kutoka Uingereza
Mwisho wa hali ya nchi lindwa

1 Januari 1984
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
5,765 km² (ya 170)
8.6
Idadi ya watu
 - 2013 kadirio
 - 2001 sensa
 - Msongamano wa watu
 
415,7170 (ya 175)
332,844
67.3/km² (ya 134)
Fedha Brunei ringgit (BND)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+8)
(UTC)
Intaneti TLD .bn
Kodi ya simu +6731

-

1 Also 080 from Malaysia.Brunei (jina rasmi niː برني دار السلام , Negara Brunei Darussalaam, yaaniː Brunei Nyumba ya Amani) ni usultani mdogo na nchi huru kwenye kisiwa cha Borneo ya Asia ya Kusini-Magharibi.

Imepakana na majimbo ya Sarawak na Sabah ya Malaysia tu, ingawa sehemu kubwa ya kisiwa hicho inatawaliwa na Indonesia.

Mji mkuu ni Bandar Seri Begawan.

Mtawala wa nchi ni sultani Hassan al-Bolkiah. Anasemekana ni kati ya watu tajiri zaidi duniani kutokana na mapato ya mafuta ya petroli.

Watu[hariri | hariri chanzo]

Wakazi wengi (66.3%) ni wa jamii ya Wamalay, 11.2% ni Wachina, 3.4% ni Waborneo asili, 2.3% ni Wahindi, 16.8% wana asili tofauti.

Lugha rasmi ni Kimalay, lakini Kiingereza pia kinatambuliwa na katiba ya nchi.

Dini rasmi ni Uislamu wa madhehebu ya Sunni ambayo inafuatwa na thuluthi mbili za wakazi, lakini wakazi wengine wanafuata dini za Ubuddha (13%), Ukristo (10%) na dini za jadi (2%). Asilimia 7 hawana dini maalumu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Serikali
Taarifa za jumla
Biashara
Utalii
Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Kirgizstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.


Map of Asian states.png Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Brunei kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.