Uhuru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uhuru (kwa Kiingereza freedom) ni hali ya kuweza kufanya mambo bila kuingiliwa na yeyote au hali yoyote.

Unaweza kumhusu mtu binafsi hadi nchi nzima.

Uhuru humwezesha mtu kujitawala kiakili, kidini na kimaadili.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]