Kodi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kodi ni malipo ya lazima ya kifedha au aina nyingine ya malipo yaliyotozwa kwa walipa kodi (mtu binafsi au chombo kingine cha kisheria) na shirika la serikali ili kufadhili matumizi mbalimbali ya umma.

Kushindwa kulipa, au kukimbia au kupinga kodi, unaadhibiwa na sheria.

Kodi zinajumuisha kodi ya moja kwa moja au isiyo ya moja kwa moja na inaweza kulipwa kwa pesa.

Scale of justice 2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kodi kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.