Katiba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Katiba ni sheria au kanuni zinazoanisha jinsi ambavyo nchi, chama, au shirika vitakavyoendesha shuguli zao. Kwa upande wa nchi, katiba ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali. Katiba za nchi pia huanisha haki za msingi za wananchi.

Scale of justice 2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Katiba kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kuna aina kuu mbili za Katiba ambazo ni: (a) Katiba isiyo ya maandishi(Mapokeo) (b) Katiba ya maandishi