Nenda kwa yaliyomo

Picha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kupiga picha ya mazingira kwa kamera.
Mpiga picha na mwandaaji wa filamu nchini Tanzania.

Picha (kutoka neno la Kiingereza "picture", lililotokana na Kilatini "pictura") ni taswira ya kitu fulani ambacho kimechorwa au kutumia vifaa vya elektroniki kuchukua taswira ilivyo.

Siku hizi picha zimeenea kila mahali, na wengi wanapenda sana kuzipiga ili kutunza kumbukumbu zao.

Upigaji picha umekuwa aina mojawapo ya sanaa.

Nyakati za kupigwa picha

[hariri | hariri chanzo]

Kwa kawaida watu hupigwa picha wakati wa harusi, ubatizo, mazishi, mahafali au wakati mwingine wowote ambapo ungependa kuuhifadhi katika kumbukumbu kwa njia ya picha.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]