Madaraka
Jump to navigation
Jump to search
Madaraka ni uwezo ambao mtu hupewa ili kuongoza kundi fulani la watu. Madaraka hayo huweza kufikia kuwa ya kuongoza kundi kubwa la watu au hata nchi nzima.Uongozi unaweza kuwa ni wa mtu mmoja mmoja au wa kundi kubwa la watu.
Pia madaraka hutolewa kwa njia mbili ambazo ni kuteuliwa na kuchaguliwa. Mara nyingi hutumika uongozi wa kuchaguliwa na wananchi na kama ni wa kuteuliwa ni kama kuteuliwa na raisi.
Faida za uongozi[hariri | hariri chanzo]
- Husaidia kufanya kazi vizuri (sababu utakuwa chini ya uongozi)
- Husaidia kufanya kazi kwa umoja na kwa urahisi.
Sifa za kiongozi bora[hariri | hariri chanzo]
- Huwa mchapa kazi.
- Huwa mkweli.
- Huwa mwaminifu.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |