Wajibu
(Elekezwa kutoka Jukumu)



Wajibu ni kazi au jambo fulani ambalo ni lazima ufanye au kutimiza.
Kila mtu ana wajibu wake, hata kama ni baba wa familia.
Mifano ya wajibu:
- wa mama:
- kumsaidia baba kazi
- kuwapa watoto upendo, kwani mama ndiye anayekaa na watoto kwa muda mwingi kuliko baba ila si mama tu
- kufanya kazi
- wa mtoto:
- kusoma kwa bidii
- kutii wazazi
- kufanya kazi za nyumbani n.k.
- kusoma kwa bidii
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |