Gujarat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Gujarat kwenye ramani ya India.
Ramani ya Gujarat.
Ramani ya Gujarat.

Gujarat ni jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho la Uhindi.

Mji mkuu ni Gandhinagar ambao ni mji mpya uliopewa jina hilo kwa heshima ya Mahatma Gandhi aliyezaliwa Porbandar, jimboni Gujarat. Mji mkubwa ni Ahmedabad.

Gujarat ina eneo la km² 196,024 zinazokaliwa na watu milioni 50.

Lugha rasmi ni Kigujarati inayotumiwa na asilimia 80 za wakazi.

Wengi wao ni Wahindu (89%), kuna pia Waislamu (9%) na Wajain (1%).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Indie 2006.png Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gujarat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.