Vadodara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vadodara ni jiji la jimbo la Gujarat nchini Uhindi lenye wakazi milioni 1.7 (2011). Ni mji mkubwa wa ishirini nchini Uhindi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vadodara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.