Surat
Jump to navigation
Jump to search
Nchi | Uhindi |
Jimbo / Mkoa | Gujarat |
Kimo | mita 13 |
Eneo | km2 326.515 [1] |
Wakazi | 4,467,797[2] |
Msongamano wa watu | 14,000/km2 |
Simu | 91-261-XXX-XXXX |
Tovuti rasmi | www.suratmunicipal.gov.in |
Surat ni mji La Jimbo la Gujarat nchini Uhindi. Iko kwenye kingo za mto Tapti, karibu na mdomo wake katika Bahari Hindi. Hivyo ilikuwa bandari muhimu lakini siku hizi maji yake hayana kina cha kutosha kwa meli kubwa. Ni jiji lenye wakazi milioni 4.5 lenyewe, na milioni 6 katika rundiko la mji. Ni mji mkubwa wa nane nchini Uhindi.
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Statistics for Surat Municipal Corporation. Iliwekwa mnamo 4 June 2015.
- ↑ District Census Handbook – Surat 40.
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Surat travel guide kutoka Wikisafiri
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Surat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |