Demokrasia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Demokrasia (ni neno kutoka lugha ya Kigiriki, demokratia maana yake utawala wa watu) ni aina ya serikali. Kwenye demokrasia, watu fulani wa kwenye jumuia wanamchagua kiongozi wao. Kuna njia nyingi za kufanya hivi, lakini mchakato kamili kikawaida huitwa kushikilia uchaguzi.

Vyama vya kisiasa] uhusika na masuala ya kisiasa. Yaonekana kwamba yaweza kuwa rahisi kuwa na chama cha kisiasa. Chama kitakachoshinda uchaguzi watamchagua kiongozi wanayemtaka.