Nenda kwa yaliyomo

Dhamana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dhamana (kutoka neno la Kiarabu) ni kitu chochote ambacho mtu anaweka au kuwekewa ili kukomboa kitu fulani au kupata huduma fulani. Dhamana inaweza kuwa pesa, gari, nyumba na hata chochote kile. Dhamana ipo katika pande nyingi, kwa mfano katika mahakama ili mshtakiwa aachiliwe kwa muda.

Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dhamana kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.