Pakistan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
اسلامی جمہوریۂ پاکستان
Islāmī Jamhūriya-i-Pākistān

Jhamhuri ya Kiislamu ya Pakistani
Bendera ya Pakistani Nembo ya Pakistani
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: Iman, Ittehad, Tanzim
(Kiurdu: "Imani, Umoja, Nidhamu")
Wimbo wa taifa: Pak sarzamin shad bad
Lokeshen ya Pakistani
Mji mkuu Islamabad
33°40′ N 73°10′ E
Mji mkubwa nchini Karachi
Lugha rasmi Kiurdu, Kiingereza
Serikali Jamhuri ya Kiislamu
Shirikisho la Jamhuri
Mamnoon Hussain
Mian Nawaz Sharif
Uhuru
Abbasiya
Dola la Ghazni
Ufalme wa Ghor
Usultani wa Delhi
Dola la Moghul
imetangazwa
Jamhuri
kutoka Uingereza
711-962
9621187
1187-1206
1210-1526
1526-1707
14 Agosti 1947
23 Machi 1956
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
880,254 km² (ya 34)
3.1
Idadi ya watu
 - 2004 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
163,985,373[1] (ya 6)
211/km² (ya 53)
Fedha Rupia (Rs.) (PKR)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
PST (UTC+5:00)
haipo (UTC+6:00)
Intaneti TLD .pk
Kodi ya simu +92

-


Ramani ya Pakistan

Pakistani ni nchi ya Asia ya Kusini. Imepakana na Ghuba ya Uarabuni upande wa kusini, Afuganistani na Uajemi upande wa magharibi, Uhindi kwa mashariki na Uchina kwenye kaskazini-mashariki.

Mipaka yake na Uhindi na Uchini haitambuliki kimataifa. Pakistan na Uhindi zote mbili zinadai eneo la Kashmir zikitawala kila moja sehemu za eneo hili.

Pakistani ina nafasi ya sita kati ya nchi duniani zenye watu wengi. Ni nchi yenye Waislamu wengi duniani baada ya Indonesia.

Pakistani ilikuwa sehemu ya Uhindi wa Kiingereza hadi 1947 ikapata uhuru wake katika vita ya mgawanyiko wa Uhindi. Wakati ule ilikuwa nchi moja pamoja na Bangla Desh ya leo.

Jina la Pākistān lina maana ya "nchi ya watu safi" kwa Kiurdu.

Kuna majimbo manne ya Punjab, Sindh, Jimbo la mpaka wa kaskazini-magharibi and Baluchistan.

National symbols of Pakistan (Official)
National animal Markhor.jpg
National bird Keklik.jpg
National tree Pedrengo cedro nel parco Frizzoni.jpg
National flower Jasminum officinale.JPG
National heritage animal Snow Leopard 13.jpg
National heritage bird Vándorsólyom.JPG
National aquatic marine mammal Platanista gangetica.jpg
National reptile Persiancrocodile.jpg
National amphibian Bufo stomaticus04.jpg
National fruit Chaunsa.JPG
National mosque Shah Faisal Mosque (Islamabad, Pakistan).jpg
National mausoleum
National river Indus river from karakouram highway.jpg
National mountain K2, Mount Godwin Austen, Chogori, Savage Mountain.jpg

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. World Gazetteer population estimate for 2006. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-12-08.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China.


BlankAsia.png Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pakistan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.