Pak sarzamin shad bad
Jump to navigation
Jump to search
Pak sarzamin shad bad (Kiajemi „Ibarikiwe ardhi iliyo safi“) ni wimbo wa taifa wa Pakistan.
Musiki ilitungwa na Ahmed G. Chagla (1902-1953), maneno na Abul Asar Hafeez Jullundhri. Pak sarzamin shad bad ilikuwa wimbo wa taifa mwaka 1954.
(Wikipedia ya Kiingereza Tarana inataja wimbo la "Quaumi Tarana" kama wimbo rasmi na kuongeza "Pak sarzamin shad bad" kama "wimbo mpya" lakini bila kueleza badiliko lilitokea lini)
|
|
|