Nepal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
नेपाल
Nepāl
Bendera ya Nepal Nembo ya Nepal
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: जननी जन्मभूमिष्च स्वर्गादपि गरीयसी  (Sanskrit)
"Mama na Taifa heri ya Mbinguni"
Wimbo wa taifa: Rastriya Gaan
Lokeshen ya Nepal
Mji mkuu Kathmandu
27°42′ N 85°19′ E
Mji mkubwa nchini Kathmandu
Lugha rasmi Kinepali
Serikali
Mkuu wa muda
Mfalme
Waziri Mkuu
Serikali ya muda
Girija Prasad Koirala
Mfalme Gyanendra Bir Bikram Shah
Girija Prasad Koirala
Maungano ya temi za Nepal
{{{established_events}}}
{{{established_dates}}}
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
147,181 km² (ya 93)
2.8
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - 2002 sensa
 - Msongamano wa watu
 
27,133,000 (ya 42)
23,151,423
184/km² (ya 56)
Fedha Rupia ya Nepal (NRs.)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
NPT (UTC+5:45)
(haitumiki) (UTC+5:45)
Intaneti TLD .np
Kodi ya simu +977

-


Ramani ya Nepal

Nepal nchi ya Asia ya Kusini kwenye milima ya Himalaya inayopakana na Uhindi na China. Mlima Everest ambao ni mlima mkubwa duniani uko Nepal. Mji mkuu ni Kathmandu.

Wakazi wengi hufuata dini ya Uhindu.

Kisiasa Nepal iko katika kipindi cha mageuzi. Hadi 2006 mfalme alitawala pekee yake baada ya kufukuza bunge. Katika 2006 mfalme alilazimishwa kurudisha bunge iliyotangaza ya kwamba mfalme hana mamlaka tena na kumteua Mkuuwa nchi kwa muda. Bunge mpya itakayochaguliwa katika Juni 2007 itaamua katiba mpya.

Mwezi wa Mei 2008 bunge liliamua kumaliza ufalme ikatangaza Nepal kuwa Jamhuri.

Viungo vya nje

Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China.


BlankAsia.png Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nepal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.