London
Mandhari
- Tazama pia East London, Afrika Kusini; London, Ontario na New London, Connecticut
London | |
Mahali pa mji wa London katika Uingereza |
|
Majiranukta: 51°30′28″N 00°07′41″W / 51.50778°N 0.12806°W | |
Nchi | Ufalme wa Muungano |
---|---|
Idadi ya wakazi (2007) | |
- Wakazi kwa ujumla | 7,556,900 |
Tovuti: http://www.london.gov.uk/ |
London ni mji mkuu wa Uingereza na mji mkubwa wa nchi hii wenye wakazi milioni 7.5. Kwenye rundiko la mji idadi ya watu ni karibu milioni 14.
London ni mahali muhimu kwa biashara na benki kimataifa. Jiji la London ndilo linalopokea watalii wengi zaidi ulimwenguni.[1] Uwanja wa ndege wa Heathrow unapokea wasafiri wengi zaidi kushinda mahali popote duniani.[2]
London ina watu wa kutoka tamaduni mbalimbali, dini tofautitofauti, na zaidi ya lugha 300 huzungumzwa jijini London.[3]
Mji umepambwa na majengo mazuri kama makumbusho, makanisa na majumba yanayovuta watalii wengi kila mwaka.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Bremner, Caroline. "Euromonitor International's Top City Destination Ranking", Euromonitor International, 10 Januari 2010. Retrieved on 18 Oktoba 2010. Archived from the original on 2011-03-05.
- ↑ (PDF) Top ten world airports – 2004, http://www.heathrowairport.com/assets/B2CPortal/Static%20Files/TopAirports04.pdf, retrieved 2008-03-07
- ↑ Languages spoken in the UK population, CILT, the National Centre for Language, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-19, iliwekwa mnamo 2010-11-13
{{citation}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu London kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |