Cheo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hashimu Rungwe (Kulia), Mtanzania mwenye cheo cha Uenyekiti katika chama cha siasa cha CHAUMA akiwa na msanii NASH MC

Cheo ni rejeo linaloongezwa kwa jina la mtu kuonyesha heshima, wadhifa au kazi yake.

Pia ni kimo cha kitu fulani, kama vile vazi.

Tena ni jina la vifaa mbalimbali: mti wa kufulia nazi, ubao mwembamba wa kushonea mkeka, kifimbo cha kuagulia ambacho mganga wa jadi anatafuta vitu.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cheo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.