Nenda kwa yaliyomo

Kimalayalam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kimalayalam

Kimalayalam ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamalayali. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalayalam iko katika kundi lake lenyewe la Kimalayalam. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kimalayalam nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu milioni 37-38. Pia kuna wasemaji katika mtawanyiko wa Wamalayali duniani.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalayalam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.