Kiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiti cha Spika katika bunge la Australia.

Kiti (wingi: viti) ni kifaa cha samani ambacho watu hukalia.

Mara nyingi huwa kina miguu minne ili iweze kustahimili uzito bila kuyumba.

Viti vinaweza kutumika sehemu mbalimbali, kama vile nyumbani, shuleni, bungeni, kwenye maabara, ofisini, kanisani, hotelini n.k.

Aina mojawapo ya viti ni sofa. Kwenye sofa wanaweza kukaa watu zaidi ya wawili.

Aina nyingine ya viti ni vile vya chumba cha kukulia. Kwa Kiingereza vyajulikana kama 'dining chairs'.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.