Mguu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Miguu)
Rukia: urambazaji, tafuta
Mchoro wa mguu wa binadamu.

Mguu ni sehemu ya mwili chini ya kiwiliwili. Mguu ni moja ya sehemu zenye umuhimu mkubwa katika jamii.

Binadamu huwa na miguu miwili na anaitumia kwa kutembea amesimama wima. Wanyama wengi wana miguu minne na kuitumia yote pamoja kwa kutembea.

Gray188.png Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mguu kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.