Mguu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mchoro wa mguu wa binadamu

Mguu ni sehemu ya mwili chini ya kiwiliwili. Binadamu huwa na miguu miwili na anaitumia kwa kutembea.