Kiwiliwili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kiwiliwili pamoja na mahali pa ogani mhimu ndani yake

Kiwiliwili (kilatini truncus „gogo“) ni sehemu kuu ya mwili bila kichwa, shingo, miguu na mikono na mkia.

Sehemu kuu za kiwiliwili[hariri | hariri chanzo]

Kiwiliwili hutazamiwa kuwa na sehemu 4 ndani yake (pamoja na majina ya kilatini yanayotumiwa na matibabu)

Ogani muhimu katika kiwiliwili[hariri | hariri chanzo]

Ogani nyingi muhimu zimo ndani ya sehemu za kiwiliwili, kwa mfano