Kichwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mchoro wa kichwa cha binadamu

Kichwa ni sehemu ya mwili ambayo kwa mwandadamu na vetebrata huwa na ubongo, macho, masikio, pua na kinywa ambazo hutumiwa kwa kuona, kusikia, kunusa, na kuonja. Maumbile ya kichwa yametokea kwa njia ya evolution yaani kupitia mabadaliko ya majini ambayo hufanyika kwa muda mrefu (kama vile mamilioni ya miaka). Kupitia njia hii ya mabadaliko ya kibayolojia maungo haya ya hisia and kula hupatikana mbele ya mwili (kwa kiingereza anterior) zote pamoja hujulikana kama kichwa.


Gray188.png Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichwa kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.