Pua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Pua
Kono la tembo ni pua defu

Pua ni kiungo cha mwili wa watu na wanyama vertebrata. Kazi yake ni kunusu vitu. Inasaidia pia kazi ya kupumua; kwa wanyama kadhaa kama farasi ni mlango mkuu wa mfumo wa upumuaji.

Kwa watu na pia wanyama wengi kuna nyewele puani zenye kazi ya filta dhidi ya vumbi.

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Pua" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
Morpho didius Male Dos MHNT.jpg Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pua kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.