Maumivu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Maumivu”
“Maumivu” cover
Single ya Bob Junior akiwa na ROMA
Imetolewa 14 Agosti 2014
Imerekodiwa 2014
Aina Hip Hop na Bongo Flava
Studio Sharobaro Records
Mtunzi Bob Junior
ROMA
Mtayarishaji Bob Junior
Mwenendo wa single za Bob Junior akiwa na ROMA
"Bolingo"
(2014)
"Maumivu"
(2014)

Maumivu ni jina la kutaja wimbo uliotungwa na Bob Junior akiwa na mwimbaji wa muziki wa hip hop ROMA. Wimbo unazungumzia mtu anayejitia mwema ilhali si mwema. Wimbo umerekodiwa baada ya ahadi aliyoifanya ROMA mapema 2014 ya kwamba iwapo Brazili watafungwa katika michuano ya Kombe la Dunia, basi atatoka Tongwe Records na kuhamia Sharobaro Records kwa Bob Junior. Ahadi ameitimiza.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maumivu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.