Bob Junior

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bob Junior
Amezaliwa Raheem Rummy Nanji
Machi 19 1986 (1986-03-19) (umri 37) Iringa, Tanzania
Jina lingine Sharobaro
Kazi yake Muigizaji, Mtunzi, Mwanamuziki

Bob Junior (amezaliwa 1986) ni mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania. Ni mmiliki wa studio iitwayo Sharobaro Records. [1][2]

Ameteuliwa mara mbili kwa Tuzo za Muziki Tanzania, kwa mara ya kwanza aliteuliwa mwaka 2011 kuwa Msanii Bora Anayechipukia, na mwaka 2012 kuwa Msanii Bora wa Kiume. [3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Bob Junior ‘Sharobaro’. Bongo Cinema (19 March 1989). Iliwekwa mnamo 7 Juni 2017.
  2. Bob Junior | Biography. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-02-11. Iliwekwa mnamo 2019-12-21.
  3. Abdallah Msuya (Tanzania Daily News) (9 Februari 2011). 2011 Kilimanjaro Music Award Nominees Announced. Afrikhun Pulse. Iliwekwa mnamo 7 Juni 2017.
  4. Kili awards 2012 Nominees hawa hapa!. Bongo5 (8 Februari 2012). Iliwekwa mnamo 7 Juni 2017.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bob Junior kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.