Joh Makini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Msanii Joh Makini (Watatu-kulia) akitoa burudani

Joh Makini (amezaliwa 27 Agosti 1985) ni rapa na mtunzi wa nyimbo za hip hop kutoka nchini Tanzania.

Makini mwenye makazi yake jijini Arusha, ambaye anajulikana kwa wimbo kama "Popote Chochote", Don't Bother, Karibu katika Show za Joh, na nyengine kibao. Vilevile ni mwanachama hai wa "Weusi" kutoka Arusha.[1] [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Diamond ampongeza Joh Makini na WEUSI kwa juhudi zao za kujitangaza kimataifa - Bongo5.com", Bongo5.com (kwa en-US), 2015-08-26, iliwekwa mnamo 2018-08-16 
  2. "Joh Makini Mwamba wa Kaskazini - JamiiForums". JamiiForums (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2018-08-16. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Muziki wa Jo Makini

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joh Makini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.