1 Machi
Jump to navigation
Jump to search
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 1 Machi ni siku ya 60 ya mwaka (ya 61 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 305.
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1896 - Waethiopia wanawashinda Waitalia katika Mapigano ya Adowa.
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1653 - Mtakatifu Pasifiko wa San Severino, padri wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1839 - Modest Mussorgsky, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1910 - A.J.P. Martin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1952
- 1917 - Robert Lowell, mshairi kutoka Marekani
- 1921 - Richard Wilbur, mshairi kutoka Marekani
- 1941 - Robert Hass, mshairi kutoka Marekani
- 1971 - Allen Johnson, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Marekani
- 1981 - Párvusz, msanii mchoraji kutoka Hungaria
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 492 - Mtakatifu Papa Felix III
- 965 - Papa Leo VIII
- 991 - En'yu, mfalme mkuu wa Japani (969-984)
- 1792 - Kaisari Leopold II wa Ujerumani
- 1911 - Jacobus Henricus van 't Hoff, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1901
- 1995 - Georges Köhler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1984
Sikukuu[hariri | hariri chanzo]
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Felix III, Albinus wa Angers, Dewi, Siviardi, Suitberti, Leo wa Bayonne, Agnes Cao Guiying n.k.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |