Georges Köhler
Mandhari
Georges Jean Franz Köhler (17 Machi 1946 – 1 Machi 1995) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza kinga za mwili dhidi ya virusi mbalimbali.
Mwaka wa 1984, pamoja na Niels Jerne na César Milstein alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Georges Köhler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |