Nenda kwa yaliyomo

Tuzo ya Nobel ya Tiba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo ya Nobel ya Tiba au Fiziolojia hutolewa kila mwaka kufuatana na wasia ya Alfred Nobel na kamati ya Taasisi ya Taaluma ya Sayansi ya Sweden.


Tangu mwaka 1901 tuzo imepokelewa na wataalamu wafuatao: