Donnall Thomas
Mandhari
Edward Donnall Thomas (15 Machi, 1920 – 20 Oktoba, 2012) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza uhamishaji wa uboho wa mifupa ili kutibu kansa wa damu. Mwaka wa 1990, pamoja na Joseph Murray alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Donnall Thomas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |