Archibald Vivian Hill

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Archibald Vivian Hill

Archibald Vivian Hill (26 Septemba 18863 Juni 1977) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza nishati ndani ya misuli. Mwaka wa 1922, pamoja na Otto Meyerhof alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Archibald Vivian Hill kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.