Otto Meyerhof

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Otto Fritz Meyerhof

Otto Fritz Meyerhof (12 Aprili 18846 Oktoba 1951) alikuwa mwanakemia na mwanabiolojia kutoka nchi ya Ujerumani. Baadaye alihamia Marekani. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza uhusiano kati ya oksijeni na asidi ndani ya misuli. Mwaka wa 1922, pamoja na Archibald Vivian Hill alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Otto Meyerhof kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.