26 Septemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ago - Septemba - Okt | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1849 - Ivan Pavlov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1904)
- 1886 - Archibald Vivian Hill (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1922)
- 1888 - T. S. Eliot (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1948)
- 1897 - Papa Paulo VI (kwa jina la Giovanni Montini)
- 1898 - George Gershwin (mtungaji wa muziki Mmarekani)
- 1936 - Winnie Madikizela-Mandela, mke wa kwanza wa Nelson Mandela
- 1976 - Michael Ballack (mchezaji mpira kutoka Ujerumani)
- 1986 - Brooke Allison, mwimbaji kutoka Marekani
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 1925 - Paul Newman - mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani
- 1945 - Bela Bartok (mtungaji wa muziki Mhungaria)
- 1976 - Leopold Ruzicka (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1939)
- 1978 - Karl Manne Siegbahn (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1924)
- 1996 - Geoffrey Wilkinson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1973