Feodor Lynen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Feodor Lynen

Feodor Lynen (6 Aprili 19118 Agosti 1979) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza uhusiano kati ya kolesteroli na asidi za mafuta. Mwaka wa 1964, pamoja na Konrad Bloch alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Feodor Lynen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.