1979
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| ►
◄◄ |
◄ |
1975 |
1976 |
1977 |
1978 |
1979
| 1980
| 1981
| 1982
| 1983
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1979 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 11 Februari - Mapinduzi ya Uajemi
- 1 Aprili - Nchi ya Iran inatangazwa kuwa Jamhuri ya Kiislamu.
- 21 Septemba - Serikali ya Jean Bedel Bokassa, Kaisari wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, inapinduliwa
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 16 Januari - Aaliyah, mwimbaji na mwigizaji filamu wa Marekani
- 24 Januari - Tatyana Ali, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 26 Januari - Nelson Rockefeller, Kaimu Rais wa Marekani
- 11 Februari - Brandy Norwood, mwimbaji kutoka Marekani
- 19 Februari - Mariana Ochoa, mwanamuziki na mwigizaji filamu kutoka Mexiko
- 14 Machi - Nicolas Anelka, mchezaji wa mpira kutoka Ufaransa
- 15 Juni - Lady Jay Dee, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 21 Juni - Chris Pratt, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 30 Agosti - Kali Ongala, mchezaji mpira kutoka Tanzania
- 5 Septemba - John Carew, mchezaji wa mpira kutoka Norwei
- 18 Septemba - 2Face Idibia, mwimbaji wa Nigeria
- 22 Septemba - Jericho Rosales, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino
- 8 Oktoba - Kristanna Loken, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 9 Oktoba - Lecrae, mwanamuziki kutoka Marekani
- 10 Oktoba - Mýa, mwanamuziki wa Marekani
- 18 Oktoba - Ne-Yo, mwanamuziki kutoka Marekani
- 29 Novemba - Game, mwanamuziki kutoka Marekani
bila tarehe
- Pumeza Matshikiza, mwimbaji kutoka Afrika Kusini
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 5 Januari - Charles Mingus, mwanamuziki wa Marekani
- 8 Februari - Dennis Gabor, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1971
- 26 Machi - Jean Stafford, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 2 Mei - Giulio Natta, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1963
- 1 Juni - Werner Forssmann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956
- 8 Julai - Shinichiro Tomonaga, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965
- 8 Julai - Robert Woodward, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1965
- 8 Agosti - Feodor Lynen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1964
- 12 Agosti - Ernst Boris Chain, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1945
- 6 Oktoba - Elizabeth Bishop, mshairi kutoka Marekani
- 1 Novemba - Mamie Eisenhower, mke wa Rais Dwight D. Eisenhower, na Mwanamke wa Kwanza wa Marekani (1953-1961)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu: